Wasanii wa Tanzania ni waganga njaa tu wanapretend, subiri fulani apate tatizo...

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Watanzania wana tabia ya kujikweza, hii tabia imesambaa zaid kwa wasanii,

Leo hii kwa magari ya kuazima na project za watu kupitia migongo yao wanahadaa watu kwamba ni matajiri, wanafika hatua ya kuwalipa watu wa media kutangaza utajiri usio,

Tuanze na
******petu aliaibika baada ya jibaba alokuwa amempangia kumuwashia indicator ya kumpisha, alitokwa na jasho kubwa Sana maana kwa hali aliyokuwa ameeaaminisha watanzania kuwa ni tajiri na nyumba ni yake,

2. **D kuna kipindi alikuwa anaaminisha watu kuwa nyumba ya pale corner bar ni yake kwa kuwa alilipa kodi ya miaka miwili, baadae anakuja kuaibika mkataba ulipoisha,

3. Kuna mmoja akaaminisha watu kwamba anamiliki Tv station kumbe kuna watu nyuma yake mpaka sasa taratibu watu wanaanza kugundua,

Hivi kuna aloamini kwamba Kanumba kafarik bila hata Nyumba?? Lakin watu walishaaminishwa kwenye mtandao kuwa ana nyumba sita Dar es salam,

Hakuna uongo usiokuwa na mwisho,

Kwanini wasanii wasiwe real?? Kama huna huna sema sina,

Tuache show off zisizo na maana na mkiumwa figo mnachangisha Hela na kuomba misaada,

Tuwe real
 
Muongo mkubwa, shameless on you alaaaaah.
 
Hao wanakudanganya watu kama wewe unaetaka kujua nani ananyumba na nani amepanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…