johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi bado anaishi kwa mama/ndugu..!?Umemsikiliza T.I.D?? Wasanii wa bongo Wana njaa Sana ndiyo maana wanajikomba kwa serikali ili wapate mlo. Wanatia kinyaa sana
Kwa mamaHivi bado anaishi kwa mama/ndugu..!?
Aisee..!! Ndo maana analialia kwa kweliKwa mama
Wema sepetu ni msanii wa nini ?Kuna waliojaribu kuhamia CHADEMA kilichowakumba ilibidi warudi chama tawala. Case study: Wema Sepetu
Money talks, wewe umewaandaa?Unayo bakaa ya kutosha?Chuo chenyewe kimmoja na kidogo hadi Sweden akupe ngawila ya kukiendesha.Kule Marekani CIA kwa maslahi ya taifa lao wanaiendesha tasnia ya sanaa, muziki na habari. Ma-director wa muziki na filamu wanasoma shule za CIA ili wazalishe kazi zinazoendana na matakwa ya nchi. Huku kwetu mtu anaamuka tu ametoboa masikio na kuweka heleni, basi anakuwa msanii.
Money speaks louder than words and also when poverty strike friends run awayMoney talks, wewe imewaandaa?Unanayo bakaa ya kutosha?
Nikitaka nifikie level yako ya kutojielewa nifanyejeWema sepetu ni msanii wa nini ?
Akili anayodai aneitumia angeitumia kitafuta sehemu yake ya kuishi angekuwa mbali sana... bahati mbaya akili anaitumia kutumika..Kwa mama
Kama kawaida yake bado yupo homeHivi bado anaishi kwa mama/ndugu..!?