Wasanii Wa Tanzania Wanajiandaaje na World Cup?

Wasanii Wa Tanzania Wanajiandaaje na World Cup?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Nadhani kama ningekuwa msanii kama Lady JayDee, Mr. II, Saida Karoli au hata bendi kama Twanga Pepeta ningefanya bookings kwenye vilabu na viwanja vingine vya maonyesho, kwa kipindi chote cha Kombe la Dunia huko South Africa, hata kama bila malipo, siyo tu wangeweza kujitangaza lakini wangeweza kuuza kazi zao sana kwa kipindi hicho cha mwezi mmoja.

Wasanii changamkeni (kama wananisikia), mafanikio hayajileti.
 
Back
Top Bottom