figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Misosi (Vyakula) na vinywaji ndio starehe ya binadamu, maana hawezi kuishi bila vitu hivyo viwili....husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo misingi yao au vipi...
Asilimia kubwa ya wasanii wa tmk wanachanganya maneno yanayo husu misosi au vinywaji katika nyimbo zao.eg.kachumbali,vinywaji kwenye furiji,mishikaki n.k.
hadi sasa hivi sijajua kama ndo misingi yao au vipi.
sikiliza nyimbo zifuatazo;.
:nampenda yeye by temba
:dar mpaka moro by tmk
:twende zetu by tmk
:ndege tunduni by tmk
:karibuni kiumeni by tmk
:temeke by tmk
:tatu bila by tmk
:sonia by doro(tmk)
pamba nyepesi,mtoto wa geti kali by babu(tmk)
zipo nyingi sana.
nawasilisha.
mia
" kitushusha sisi kazi ipo"
gangstar au sharobaro by Temba ft ferooz" kitushusha sisi kazi ipo"
Ukweli ni kwamba uwezo mdogo wa kudadavua mambo hasa kutokana na kupitia madarasa machache...hata wengi wenu mmepanuka sana tangu muanze kuhudhuria JF coz kila siku bila shaka kuna jambo jipya mwajifunza
kama ulimsiki jum nature jana itv,.interview yake ilikua about "maugali, mapochopocho na kachumbali" eti yote yatakuepo kwenye show!!!wanasema ukiona mtu anahangaika na kitu flani ukubwani ujue utotoni alikikosa. si unayajua maisha ya TMK ndugu yangu!
kama ulimsiki jum nature jana itv,.interview yake ilikua about "maugali, mapochopocho na kachumbali" eti yote yatakuepo kwenye show!!!