figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #21
Si mchezo. MiaNdio uwezo wa kutunga ,ukiangalia wasanii wengi wa hicho kikundi labdas umuondoe mheshimiwa Temba life yao ya utotoni haina tofauti na watoto manunda,si unajua tena watoto wa uswazi msosi kwao ndio kitu wanachokiona kama kipimo cha uwezo
Umesema ukweli kabisa mkuu. Unaambiwa Ins.Haroun 'Babu' aliendaga kuperform mtwara. Kapiga show kamaliza kashuka kwenye steji, ghafla akapanda tena akaomba mic akasema,"mapapai" yaan ilimradi tu ataje kitu cha kula. Hawaj jamaa wanapenda sana misosi!

heheheee.. kuna ukweli ndani yake aiseee.... leo nimemsikia chege akisema kwamba stage ya fiesta ina kachumbari ya aina zote..