Wasanii Wa Tz Hawapendi Tujue Miaka Yao Wakiwa Hai

Waafrika wengi hawapendi kusema miaka Yao ya kweli kama ambavyo wazungu wengi hawapendi kusema uzito wao
 
DEMBA nilikua nakutania mpenzi nisamehe bure tuache malumbano

mie Shem wako kwa Evelyn Salt na shemu Dinazarde hapendi migogoro nipo chini ya usuli wako nisamehe kwa jina la yesu

Kumbe ungenitambulisha mapema kumbe Evelyn kuja huku umekaa kimya siku zote kumbe lusungo shemeji yangu !???

Aaaaa kumbe kwa Evelyn nishajua sasaa
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde mkubwa bana!

nilishamkagua!! analipa!

Umekagua sura yangu au nini ntakusemea kwa wifi mie unataka kunichosha,aliekuambia mie mkubwa nani mi bado mdogo we kua kihasara hasara
 
Last edited by a moderator:
Umekagua sura yangu au nini ntakusemea kwa wifi mie unataka kunichosha,aliekuambia mie mkubwa nani mi bado mdogo we kua kihasara hasara

hujui kinachokaguliwa eenh! hhahaa!! umri tunauweka kwanza, tupa kule!
 
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: nimecheka ile mbaya...ni kweli kila siku hakui yupo palepale

Mi watu nawashangaa sana umri tu unaficha teh
tena bora ufiche kuliko kujirudisha kama wema
 
Elizabeth michael " lulu " alifanyaga party club kusherekea kufikisha miaka 18 baada ya mwaka baadaye akapata msala wa kumuua kanumba hakasema mahakamani hajafikisha miaka 18 eti anayo 17.

Sasa swali langu ni hiv miaka ya wasanii wetu mbona inarud nyuma?
 
Waafrika wengi hatupendi kusema umri wetu....sio tu wasanii
 
Hili tatizo ni la watanzania wote sio wasanii tu
 
hata sijui kwa nini.
Wema alikuwa miss tanzania 2006 alikuwa na miaka kama 18 hivi. Sasa hadi leo ndo yuko kwenye 23 sijui. Kweli jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…