RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Leo nikiwa kwenye daladala nimeshangaa kila ngoma zinazopigwa zipo muelekeo na miondoko ya Nitongoze ya Diamond na Kwani tsh ngapi/ Huna hela ya Vannyboy , inaonekana baada ya izo ngoma kuhit kila msanii sa hivi anataka kutoa ngoma zenye mwelekeo huo , ina maana ubunifu hawana wamebaki kama bendera fuata upepo