Mjomba ngoma zinaendelea kutolewa na nyingine zimetoka labda kama sio msikilizaji wa bongofleva hautoelewa, na kuna nyimbo nyingi sa hivi wanatoa msanii anaimba alafu watu wanaitikia back vocalUmejuaje kama kila msanii anataka kutoa ngoma zenye muelekeo huo wakati hawajatoa
Na kitu kingine ni nyimbo za msanii anaimba halafu back vocal watu wanaitikia zimekuwa kila msanii anatoa , ngoma zifuatazo mfanoNi kweli kabisa, mimi nililiona hilo Kitambo tu. Kama unakumbuka jamaa alivyotoa miondoko ya bolingo na Koffi Olomide tukashuhudia wengine nao wakaanza kupitia humohumo, sijui ndombolo ya solo. Na wengine wakadiliki kuwaleta mpaka malegend wa kikongo kama alivyofanya Diamond.
Lakini wakiamka siku ya pili wanamponda.