Wasanii wadogo wanaibiwa sana nyimbo na wanaojiita ma super stars!

Wasanii wadogo wanaibiwa sana nyimbo na wanaojiita ma super stars!

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,403
Reaction score
4,373
Kuna nyimbo ya msanii mmoja wa kusini inaitwa UJE, sasa msanii mmoja wa WBC kaiiba melody yote na yeye kaiita mbeleko! Sio fair!
 
Bado sheria mbovu zinazolinda kazi za wasanii bongo
 
Heneka, mi nakupenaghaaa... Copycat ya IF ya Davido
 
Back
Top Bottom