No evidence no right to accuseKuna nyimbo ya msanii mmoja wa kusini inaitwa UJE, sasa msanii mmoja wa WBC kaiiba melody yote na yeye kaiita mbeleko! Sio fair!
Oh oo oo!!!Wcb ni kawaida yao kama ya davido wameiba melody hadi swaga wataahindwa kwa hawa wasanii wadog wa bongoo?? WCB Kushineyiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkishafanya cover ndio ndio mnadai za kwenu..Zitafute uzisikilize ndio evidence hiyo.