Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

Fred Mwakitundu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
227
Reaction score
382
Kama huna taarifa za wasanii waliopanda mlima kilimanjaro kwa mbwembwe na wengine kuishia nusu njia kuelekea kituo cha Mandara kutoka lango la Marangu ni kwamba wenzao waliosonga mbele zaidi wameacha sifa chafu na ya kushangaza.

Wasanii hawa licha ya kugharamiwa kwa kila kitu na serikali wameweka rekodi chafu ndani ya mlima Kilimanjaro kwa kufanya mapenzi bila kujali athari za kiafya lakini kubwa zaidi kushindwa kujiheshimu na kutunza heshima na hadhi waliyopewa na serikali.

Dalili za wasanii hawa kuanza ufuska zilianza kuonekana mapema kwenye kituo cha Horombo pale walipoanza kufakamia pombe kali mbele ya Waziri wa Maliasili na utalii Dkt.Hamis Kigwangala ambaye ameanzisha kampeni ya kupanda mlima kila mwaka ijulikanayo HK Kili Challenge.

Wakiwa kwenye kituo hicho wasanii hawa hawakuwa na hofu yoyte ya kugida pombe kali hadi usiku wa manane licha ya kwamba tararibu za mlima zinakataza matumizi ya po,mbe na sigara kwa wageni na wapagazi na waongazaji wageni.

Mambo yalikuwa mabaya zaidi kwenye vyumba vya kulala kwani zilikuwa zikisikia kelele za mahaba licha ya ukweli kwamba si jambo la kawaida wageni waliopanda mlima ambao si mtu na mke wake kulala banda moja .

Kwa kawaida mabada ya kulala wageni mlima Kilimanjaro yana vitanda kuanzia vinne hadi sita na zaidi kuanzia kituo cha Mandara,Horombo na Kibo lakini wasanii hawa waliamua kujichanganya wa kike na wa kiume na kufanya mapenzi ya wazi bila kujali wako wapi .

Hawa ndiyo waliopewa hadhi na serikali kutangaza vivutio vyetu ukiwamo mlima kilimanjaro ambao kwa sasa watanzania tupo katika Kampeni kubwa ya kupigia kura mlima wetu ili uingizwe kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya vivutio bora duniani.

Endeleeni kunywa mtori nyama ziko chini
 
Umejuaje kama sio mpiga chabo
 
Kila mwaka kutakuwa na hiyo HK Kili Challenge?
Kuna mwaka volcano ya hapo itachoka na huu uchafu, mbona tutajuta!!
 
Ndio raha ya group trip...

Raha tu imeletwa kwenyu kwa hisani ya watu wa Marekani kupitia kwa Waziri wa Utalii
 
UNITED STATES OF AMERICA

More than 553,700 people were homeless on a single night across the US, according to the Department of Housing and Urban Development (BBC, 2017).

More than 40 million people were living in poverty, and 18.5 million were living in deep poverty, with reported family income below one-half of the poverty threshold. (UNHR, 2017).

The implications of the great recession are still felt. An estimated 3.2 million jobs were eliminated, and 1.2 million homes foreclosed upon following during the financial crash between 2007-2009 (Portland State University, 2018).

RUSSIA

Russia’s governmental statistics agency Rosstad has not collected any numbers on homeless people since 2010. The official number from that period – 64,000 – is thought to be far too low, and it is estimated that the real number is roughly 5 million.
 
Kama Amber Rutty na Gigy walikuwepo, naweza kukuamini aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…