Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

Dhana ni dhambi, pia huyo huyo aliekuhabarisha nae hana ushahidi..so kumhukumu mtu bila kuwa na evidence ni kujichumia madhambi tu
 
kelele zilitokea chumba gani?..isije ikawa.
 
Ni chumba cha wakika nani hicho zilisikika hizo sauti za mahaba?
 
yaani hata hizo fiesta zao ni NGONO mtindo mmoja!
 


Sasa nani wa kulaumiwa hapa??--- ni yule uliyewawekea pombe na kuwaweka pamoja walevi na malaya wa jinsia tofauti, Kigwa ndiye wa kulaumiwa hapo. Hivi tumekosa watu wa kutangaza mlima kilimanjaro hadi wachukuliwe hao wahuni??!!. Shame on Kigwa.🤣
 
Kula kiboga kwenye tent Kuna Raha yake, tuna uhakika gani Kama watalii hawagegedani juu ya mlima? Au giggy money ndio anataka kuangushiwa jumba bovu?
 
Kula kiboga kwenye tent Kuna Raha yake, tuna uhakika gani Kama watalii hawagegedani juu ya mlima? Au giggy money ndio anataka kuangushiwa jumba bovu?


Kugegedana mlimani ni kuunajisi mlima na kupeleka laana juu yake, Mungu akikasirika anaweza kupeleka tetemeko na mji mzima wa Wachagga utafukiwa na vifusi vya mlima.
 
Hifadhi pia imeonyesha udhaifu kwa kuruhusu chupa za maji za plastic chini ya lita 5 ambazo walishakataa kuingia nazo hifadhini, wageni na waongoza watalii tumekua na maswalI mengi kwa nini sisi tunazuiliwa kuingia nazo hata kama ni Day trip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…