Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

Hifadhi pia imeonyesha udhaifu kwa kuruhusu chupa za maji za plastic chini ya lita 5 ambazo walishakataa kuingia nazo hifadhini, wageni na waongoza watalii tumekua na maswalI mengi kwa nini sisi tunazuiliwa kuingia nazo hata kama ni Day trip
Mkuusheria zimewekwa ili zivunjwe cha muhimu kwako tafuta nguvu kuweza kuzivunja na kuendelea, kubak salama. sheria isipovunjwa haina mana
 
we kota kweli.... wageni hawaruhusiwi kunywa pombe hiyo sheria kaiweka babaako??
 
Ungekuja na vithibitisho ingekuwa bora zaidi.

Maneno tupu hayavunji mfupa
 
Hoja ni nini hapa....au walifanya kinyume na maumbile
 
Hata weye ungelifika pale kileleni ungetamani kuona kama unaweza kupiga goli moja tu. Tuliowahi kufika pale kileleni nadhani watakuwa mashahidi kuwa, Hata kamera huwa nzito. Sasa kama waliweza kuyagida pale basi hao ni mabingwaaaa
 
Kama kuna kilichovuja naomba utushirikishe na sisi.
 
Sijaona msanii wa kike kwenye hiyo project,tuoneshe
 
Maajabu! Miaka tuliyopanda mlima Kilimanjaro kufika Horombo ni tabu kwa sababu ya baridi!! wakati wa kulala unalala juu ya kitanda ndani ya Sleeping Bag linalokutosha mwenyewe. vinginevyo utapata numonia. Sleeping Bag Couple wanaenea?
 

Attachments

  • 5042419-ALL01-ALT-OPEN.jpg
    105.2 KB · Views: 4
Sasha si waliamua wahi fika kileleni
 
Khaaa huu sasa ndo umbea. Kuna shida gani watu kufanya mapenzi ikiwa waliamua wenyewe kama ambavyo wangeamua kufanya sehemu yoyote
 
hii Chai hii tena kavu
 
Mbona kama chai mbichi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…