Wasanii wafanya ufuska mlima kilimanjaro

Kwani tangazo lao la utalii halikusisha sauti za kimahaba?
Labda walikuwa wanaigiza tu. Kwani hukusikia neno hili
"Kamera man ACTION"
 
Hawa mawaziri wa wizara ya Utalii sijui wanakuwa na matatizo gani,kuna mmoja alimpeleka aunt Ezekiel kule Marekani ili kuitangaza Tanzania,sijui alikuwa anatangaza nini,huyu Kigwa nae utoto mwingi,umjini ndio unamwingia sasa,hawajui wasanii akitupwa nje hakuna hata atakayemkumbuka.
 
Umepiga chabo kwenye tent mkuu!ukawa unahuzunika jinsi dhambi inavyofanyika
 
Ulikuwepo?
 
Sasa kama pombe haziruhusiwi huko zilifikaje?
 
Huyu naye aliweza kufanya kitu kweli? Wasituyeyushie theluji mpanda miti alishajiondokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…