said sabari
Member
- Jan 26, 2016
- 26
- 32
Karne hii baadhi ya wasanii wanajichetua mno maadiri ya mtanzania miaka 10 ijayo sijui itakuaje inasikitisha sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyama pori katika miili ya Binadamu.Wasanii ni vyoo vya jamii haswa hawa Ubongo movie.
Nimekumbuka mjadala mmoja humu kama sio mwaka jana ni mwaka juzi. " Msanii kioo cha jamii" inatafsiriwa kimakosa siku zote. Labda hawajui kazi za kioo.Nadhani tatizo halipo kwa wasanii bali kwenu mnaowaona wao ni wa kuigwa kwakuwa tu "Ni watu maarufu"
Kioo kazi yake ni kuonyesha taswira, na kusema msanii ni kioo cha jamii inamaana tunapowaangalia wasanii tunapata kuona mazuri na mabaya ya jamii yetu..
Sidhani kama kuna kioo unachoangalia kinachokuonyesha upo safi usoni na kuzificha chunusi na michirizi wakati ipo..
Ndio maana kutofautisha viumbe wengine na binadamu, MUNGU ametupatia "akili na utashi" tuyatambue mazuri na mabaya kabla ya kuamua kuyafuata, kwahiyo kazi kwenu mnaoangalia "Gigy Money" kafanya nini ili muige...!!
Nimekumbuka mjadala mmoja humu kama sio mwaka jana ni mwaka juzi. " Msanii kioo cha jamii" inatafsiriwa kimakosa siku zote. Labda hawajui kazi za kioo.