bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Haiwezekani bana yaani tupo group moya, alafu nyinyi mnaenda kulala kitanda kimoja, huu ni usengenyaji wa wazi wazi.
Group la kwanza walikuwa Pah One, embu vuta picha jinsi ambavyo wale member wengine walivyokuwa wakijisikia, yaani tupo kufanya kazi alafu nyinyi mnaleta mapenzi!
Hili group la Wasafi bado siamini mini, dah ama kweli ndege mnjanja hunasa kwa tundu bovu, kama kweli Mondi kanasa kwa Zuchu basi kama ni moto, hewa na kuni zipo penzi lao ndio cheche yenyewe ya kuuwasha moto. Embu fikiria Mbosso na Lava lava stori walizokuwa wakipiga na Zuchu kabda hajawa mama yao, basi zote zitavuja kwenye kitanda cha Mondi.
Watakuwa na mashaka sana ule utani utani waliokuwa wanafanya ndo basi tena, yaani in short watavurugwa sana, ata yale mashairi Mbosso alikuwa akimpaga Mondi, atashangaa siku moja yapo kwa Zuchu.atafanyaje sasa.
Yaani wakiwa kwenye concentration kali ya kutunga ngoma, wata kuwa distracted na kicheko kinachokera cha kike cha Zuchu watabaki wanaguess hawa wanacheka nini? Masikini Lava lava atadhania wanamcheka yeye. Wataishia kukenyua tuu mimeno.
Ni bora wangekuwa tu wote wanakikundi katika level moja na huyu mtesi wao, shida ni kwamba pia ndo boss wao wamekuwa entangled vibaya sana. Sawa na kufanya kazi na mke wa bosi.