Wasanii wakumbukwa katiba inayopendekezwa

Wasanii wakumbukwa katiba inayopendekezwa

Dragunov Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
2,795
Reaction score
9
View attachment 235186
WASANII WAMEKUMBUKWA KWA MARA YA KWANZA:

Kama zilivyo haki nyingine nyingi, ni mara ya kwanza Katiba inazianzisha haki za wasanii.


Katiba Inayopendekezwa inaonyesha hivyo katika IBARA YA 59.


Haki hizi zinajumuisha haki-miliki ambazo zitawasaidia kulinda kazi zao za ubunifu, ufatifi na hatimaye kukuza Sanaa, taaluma, ubunifu na ugunduzi kwa manufaa yao binafsi na taifa kwa jumla.


Hili ni kundi muhimu katika kukuza fursa za ajira kwa vijana na kuiletea sifa na heshima nchi yetu kwa kutumia Sanaa na ubunifu wao.


Ni kundi ambalo lina uwezo mkubwa wa kuitangaza nchi yetu katika Nyanja za kiuchumi, kiutamaduni na kijamii. Hivyo, Katiba Inayopendekezwa inajenga mazingira mazuri ya kundi hili kuthaminiwa, kuendelezwa na kulindwa.


USHAURI:
SOMA IBARA TAJWA VIZURI NA KUIELEWA KABLA HUJAANZA KULETA HOJA.
 
Back
Top Bottom