Ndio nani huyo weka picha
Kiki kwa pikipikiDiamond.
[emoji119]alikiba
Huyu labda madawa ya HIV/AID'S.Diamond.
Kwa hiyo ulifurahia anavyoyatumia?Huyu jamaa nilisikitika sana nilivyosikia naye yupo soba nilikuwa namuelewa sana huyu
Nilifurahia kivipi mbona sikuelewi?Kwa hiyo ulifurahia anavyoyatumia?
Ulisikitika akiwa sober (bila ulevi)Nilifurahia kivipi mbona sikuelewi?
Sijui unafanya makusudi au unataka ligi OK anyway nilichomaanisha ni kwamba nilikuwa sijui kwamba ni mtumiaji na muathirika wa madawa ya kulevya kiasi cha kupelekea kupelekwa soba na Mara nyingi msanii akishajiingiza huku ubora wake hupotea na kwa bahati mbaya huyu jamaa hakukaa huko muda unaotakiwa aliondoka mapema nilimsikia msimamizi wa hiyo soba ya kigamboni akihojiwa na ukumbuke addict ya madawa ya kulevya huwa ni ngumu kutoka; hiko ndicho nilichomaanisha nadhani umenielewaUlisikitika akiwa sober (bila ulevi)
Polepole
anayachukuwa sehemu moja nawew sio ?Huyu labda madawa ya HIV/AID'S.