Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TwafaaImenifikia kutoka sehem
Wana lalamika nini wakati wao ndo wana wa promote kwenye kampeni eti kijani mitano tena.Wasanii hao ni pamoja na Producer Hanscana,Mbosso na Lava Lava
View attachment 3133379View attachment 3133380View attachment 3133381View attachment 3133382
Kisingizio Cha kulinda mazingira Ni ushamba, TANAPA waweke bajeti ya mazingira yaoTanzania ni ya pili katika Afrika kwa kutoza kiwango cha bei juu kwenye vituo vya utalii. Inayoongoza Seychelles kama sikosei. Kwa sio wao tu, hata watalii wanalalaka sana kuhusu hilo swala. Na si watalii wote wanakwenda huko, wengine hawawezi kulipia kwahiyo wanaishia kuzurura tu kisha wanarudi kwao.
Bei za juu zimewekwa kwa makusudi kwa ajili ya kupunguza msongamano ili kulinda mazingira. If everyone could afford to go to Serengeti basi sasa hivi lingekuwa jangwa.
Aisee kwa hiyo hizo Mbuga za SA,Botswana,Zambia na Malawi zishakua Jangwa tayari maana wanatoza hela za kawaida sana..mawazo ya Kitanzania hayo sikushangai kabisa mkuu..Tanzania ni ya pili katika Afrika kwa kutoza kiwango cha bei juu kwenye vituo vya utalii. Inayoongoza Seychelles kama sikosei. Kwa sio wao tu, hata watalii wanalalaka sana kuhusu hilo swala. Na si watalii wote wanakwenda huko, wengine hawawezi kulipia kwahiyo wanaishia kuzurura tu kisha wanarudi kwao.
Bei za juu zimewekwa kwa makusudi kwa ajili ya kupunguza msongamano ili kulinda mazingira. If everyone could afford to go to Serengeti basi sasa hivi lingekuwa jangwa.
Sio ushamba tu ni Ujinga maana unakuta mgeni anakwambia kabisa mimi siji huko gharama ni kubwa bora niende Livingstone ntaona waterfalls na wanyama kwa gharama ndogo sana..Kisingizio Cha kulinda mazingira Ni ushamba, TANAPA waweke bajeti ya mazingira yao
SA wanaotangaza Kruger National Park wanalipwa hata kama sio msanii utapewa offer ya kuingia Bure kwenye Mbuga zao kwa kipindi fulani.Kwa wasiojua,
Ile gharama unalipia kuitangaza nchi Yako inaitwa TOZO YA UZALENDO😂
Kisingizio Cha kulinda mazingira Ni ushamba, TANAPA waweke bajeti ya mazingira yao
Aisee kwa hiyo hizo Mbuga za SA,Botswana,Zambia na Malawi zishakua Jangwa tayari maana wanatoza hela za kawaida sana..mawazo ya Kitanzania hayo sikushangai kabisa mkuu..
Sio ushamba tu ni Ujinga maana unakuta mgeni anakwambia kabisa mimi siji huko gharama ni kubwa bora niende Livingstone ntaona waterfalls na wanyama kwa gharama ndogo sana..