Wasanii waliojitunisha kwamba hawawezi kupanda usafiri wa umma mambo yakigoma huenda wapi?

Ni beka fleva kama sikosei anadaiwa na dereva wa uber elf 27 tu jamaa anamkwepa knoma wasanii wetu kumbe mifukoni empty
 
Nimesikitika sana kwahiki nilichosoma. Mungu akusaidie angalau msongo wa mawazo ukutoke, sio bure unaonekana una hasira kupitiliza

Cc daren gold
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…