Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Wasanii wanaobadili sauti zao na kuongea kama watu maarufu mi wananiboa,naona kama hawapo funny,kama Steve Nyerere yaani naona kama katuni akiigiza sauti ya mwalimu,Kwenye Movie za King Majuto kuna kijana anaitwa Zumbekuku,,kwenye movie nyingine ya King Majuto anaitwa Chilisosi,aisee sauti yake nyembamba ananiboa sijui ni sauti yake halisi au anaigiza tu,Masanja MKandamizaji kidogo akiigizaga style ya mtu na kuongea kidogo naona yupo funny,sasa hawa mimicry wengine wanaboa sijui mimi tu,
Mfano Asenga sijui ni sauti yake halisi ila naona anafurahisha pia,Chapombe naye ni kawaida kwangu,Bambo pia namwona funny.
Aisee comedy kama za kuongea sauti zakubana kama Zumbekuku kwangu inaniboa huwa nikiangalia onl.ne au cd basi namaliza tu kuangalia maana najua King majuto yupo.
Sijui nye mnawaonaje hawa waigiza sauti za wengine