Ni kigogo ndiyo maana.Ila mimi nalipendaga hivyo hivyo li-beast! [emoji2] [emoji2] [emoji2]hahahaaaahha!
ana dharau nyau yule!!!
kuna huyu mwingine anaitwa chila kwa sasa anajiita mungu wa bongo fleva akiwa anahojiwa mara aonge kiingeleza maswali anajibu kizarauDuly Sykes na TID wakifanya interview usiangalie ukiwa na watoto kwa sababu muda wowote wanaweza kutukana.
hhhaaaahha!kwanza utacheka hadi ulie!!mi pia ananikosha sana mnyamaaaNi kigogo ndiyo maana.Ila mimi nalipendaga hivyo hivyo li-beast! [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Chuki na Ally K zitakuua looh!Wenye nyodo.
1.Alikiba
2.Baraka da prince.
3.T.I.D
4.Dully
….........
Huyo namba mbili akijitahidi atamfikia namba moja kwa nyodo.....
Mmmh Diamond aliyeandika Kuwa Mtoto wake Wasije Wakamla Sana Wamle Kidogo tu..Diamond ni mzungumzaji mzuri na ni kijana anayeonekana ana upeo mkubwa.
Naamini hata darasani angekuwa yuko vizuri endapo angepata fursa nzuri ya kusoma.
Duly Sykes na TID wakifanya interview usiangalie ukiwa na watoto kwa sababu muda wowote wanaweza kutukana.
Pozi la kishamba la kisukuma ila sio sanaFid Q ana pozi fulani hivi za kingosha ngosha
nampenda kigogo anawachanana asiye jitambua kwenye interview ni TID
na Ai Kiba.kila interview haishi kumlalamikia Diamondna asiye jitambua kwenye interview ni TID
hajitambui hyuacha chuki binafsi ndugu
ina mana wenye elimu tu ndo wanaongea vizuri?
unataka kuniambia hata mababu zako hawakuongea vizuri sababu hawana elimu?
Acha kukurupuka ww vp ujanisoma..acha chuki binafsi ndugu
ina mana wenye elimu tu ndo wanaongea vizuri?
unataka kuniambia hata mababu zako hawakuongea vizuri sababu hawana elimu?
Diamond ni mzungumzaji mzuri na ni kijana anayeonekana ana upeo mkubwa.
Naamini hata darasani angekuwa yuko vizuri endapo angepata fursa nzuri ya kusoma.
nmekosea kutag sorryUkweli mtupu Mkuu....kama tu amejifunza kiingereza kwa kuunga unga na akawa mahiri kuliko Waalimu wake ni dalili tosha kuwa kijana ni genius.