Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Joined
Feb 25, 2022
Posts
182
Reaction score
261
Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote;

1. Albert Mangwair
2. Profesa J
3. Jay Mo
4. Juma Nature
5. Mwana FA
6. Afande Sele
7. Fid Q
8. Joh Makini
9. Chid Benz
10. Solo Thang

Nimezingatia Mashairi, mtiririko, album. n.k.

NB. Namuheshimu Sugu ni mmoja ya waasisi wa Hip Hop ila uchanaji wake kwangu haujawahi kunivutia, najua anazo album zaidi ya 10.

Unahisi nani hastahili kuwa kwenye hiyo orodha kwa mtazamo wako, na akitoka aingie nani?

#forgive Me.
 
Joh makini ana albamu ipi?
 
Toa huyo,Joh Makini,Tia Haruna Kahena AKA Inspector Haroun flavour sio mbali na za kina Nature.

1.Fid Q
2.Prof Jay
3.Jay Moe Famous
4.Inspector Haroun
5.Juma Nature
6.Chichichi Chid Beenz
7.A.Mangwea
8.Solo Thang
9.Afande Sele
10.Langa Kileo
 
That trash Joe doesn't deserve to in the list.

Ya kwangu bila kufuata mpangilio.
1. Sugu
2.Prof Jay
3. Fid Q
4. Mwana FA
5. Ay
6. Ngwair
7. Afande Sele
8. Stamina
9. Nikki Mbishi
10. Chid Benz

Honerable mention

1. One the incredible
2. Mr Blue
 
Top 10 yangu kwa Rappers hapa bongo ni kama ifuatavyo
1. Prof Jay
2. NACHA
3. Manengo
4. Rapcha
5. Bando
6. Maarifa
7. Young Dee
8. Rostam
9. Fid Q
10. Bill nass
 
HIP HOP
1. NICAS JOHN MACHUCHE (MBISHI)
2 DIZASTA (The story Teller)
3.FID Q
4.ONE THE incredible (UNO)
5.PROFESA JAY
6.YOUNG LUNYA
7.YOUNG KILLER
8.SONGA
9.SOLO
10.STREO (SINGA SINGA)
 
We jamaa miyeyusho kweli, kwamba Nacha anaimba ngonjera!??,[emoji23]
Ushairi sjui tenzi za ROHONI

Namshukuru Mungu sijawahi download nyimbo ya nacha ata sura yake tu simjui
 
Daah nmestaajab sanaa umemuacha GODZILLA hyo list yako ni batili
 
Back
Top Bottom