kichwa kubwa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 268
- 214
salaam sana.naomba niwataje wasanii wa muziki (hususan bongo fleva) ambao naamin hawastahili kuwasahau kwa vyovyote vile watayarishaji wa muziki(producers) kwakua wametoka nao mbali
1.Ali kiba-KGT
2.Diamond-bob junior
3.bele 9-triss/monagangster
4.madee-marco chali
5.Rosa ree-nahreel
6.chemical-maxmizer
7.rich mavoko-c9
8.nay wa mitego-mazuu
9.jambo squad-DX
10.wasanii wa THT-emma the boy
Naishia hapa na wewe unaweza kuongeza wengine
1.Ali kiba-KGT
2.Diamond-bob junior
3.bele 9-triss/monagangster
4.madee-marco chali
5.Rosa ree-nahreel
6.chemical-maxmizer
7.rich mavoko-c9
8.nay wa mitego-mazuu
9.jambo squad-DX
10.wasanii wa THT-emma the boy
Naishia hapa na wewe unaweza kuongeza wengine