kichwa kubwa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 268
- 214
haha sasa wametajirika na huyu bob j yuwapi siku hizi?
mbaya hiyoo huyu ndo amemondoa tandale mpaka madale tena bureeeee amkumbuke aisee hawa waliokuja juzi kati magumash tu hawana lolotesallam, babu tale, mkubwa fella wote wamekomaa na kumfanya diamond amsahau jamaa aliemrekodia bure ili atoke kimuziki baada ya diamond kutoswa tht na studio zingine kisa hana hela ya kulipa
unadhani atafurahi wenzie wawe wanabambia alafu yeye ale kwa macho tu
Naona Mr. Touch amenza kuimba.