Watumishi wa serikali wanatosha, hatuna hela ya kuharibu kuwalipa watu ambao wataanza kumsifia rais badala ya sensa. Na pia kuna kamati za sensa zimeundwa zikijumuisha makundi mbalimbali
Hatuna wasanii tuna vituko wa jamii. Watu wanaoimba matusi na kuishi kwa skendo hawafai kupewa kazi ya maana kama hii.
Waalimu mashuleni wahamasishe wanafunzi then watapeleka taarifa nyumbani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.