Wasanii watumike kuelimisha SENSA

Watumishi wa serikali wanatosha, hatuna hela ya kuharibu kuwalipa watu ambao wataanza kumsifia rais badala ya sensa. Na pia kuna kamati za sensa zimeundwa zikijumuisha makundi mbalimbali
 
Hatuna wasanii tuna vituko wa jamii. Watu wanaoimba matusi na kuishi kwa skendo hawafai kupewa kazi ya maana kama hii.
Waalimu mashuleni wahamasishe wanafunzi then watapeleka taarifa nyumbani.
 
Yani na akili zako zote unataka uje ufundishwe maswala ya sensa na Steve Nyerere 😂
 
Paandaliwe Tamasha kubwa Uwanja wa CCM Kirumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…