Wasanii wekezeni kwenye ubunifu na maarifa na sio mavazi tuu

Wasanii wekezeni kwenye ubunifu na maarifa na sio mavazi tuu

Makau Js

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
93
Reaction score
233
Tanzania ukiwatizama mastaa wetu [Celebrities] unagundua wengi wana vipaji vikubwa sana ila wamekosa maarifa na adabu ya utashi .
Mastaa wetu wanawekeza zaidi kwenye muonekano na kutengeneza headlines na ndio maana kazi zai hazidumu kwa muda mrefu sababu ya kukosa ubunifu,na maarifa.

Ukiingia kwenye social media za mastaa wetu wa Bongo utakuta swagger nyingi kuliko maarifa na ubunifu wao .

Mwananchi unakuwa unatumia muda mwingi wa kuwatoa kasoro mastaa wetu badala ya kujifunza toka kwao hii yote inatokana na uhaba wa maarifa na elimu yenye tija.Wengi wanaiga ndoa za akina Jay-Z na Beyonce badala ya kutengeneza ndoa zao nzuri nasi tuige za kwao ,wanafake maisha na wanafake na kazi zao.

Tuwekeze kwenye maarifa n ubunifu na sio kuwekeza kwenye swagger na mavazi
 
Pamoja sana UBUNIFU ni siraha kubwa sana katika sanaa
 
Back
Top Bottom