ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna mambo nayasikia Sana kuhusu mateja wanaokula unga.kwamba Hawa mateja waliochoka wachafu wanakula unga mchafu.Lakini wapo wenye hela zao wengi tu wanakula unga.
Research yangu fupi nikaifanya kupitia skendo za wasanii.Kumbe Ni kweli wasanii weng wanakula unga. Ndo maana wanafanya vitu vya ajabu.
Mfano haiwezekani kwa mtanzania kuvaa vikuu mwanaume unavaaje vikuku.hio Ni ishara ndo maana mambele huko kina lil Wayne wamejichora matatoo zile sio akili za kawaida.
Unajua ukiwa teja wa unga Kuna mambo utafanyaje huku ukidhani Hakuna anayekuona lakini llmuda UTAFIKA ll wengi tu ma star hata Hawa wakike wanakula Sana madawa.mwanamke miss mzima unakamatwa na MIBANGI?
Maisha ya wasanii yapo rough Sana ukiona hivyo ujue anakula unga mpk mitaani wako race Sana MAPEPE memengi.majina yao wanafahamika