Wasanii wengi wa Bongo ni 'Vichwa Maji' hawakomi kutumiwa na Wanasiasa.

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Nimeona juzi "Bashite" kawaita tena baada ya kuona uchaguzi unakaribia na kutengeneza "sinema" ambalo wengi wenu hamkulielewa maskini na mkaamua kujiingiza kichwa kichwa katika mtego ule...

Kwa ufupi ule ni mkakati mpya wa kuwaandaa ili muendelee kuwa vibaraka wao kwa ajili ya uchaguzi wa mwakani na kisha kuwa "dump" baadae tena kama ilivyofanyika wakati wa uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.

Hivi nyie mlishindwa nini kujiongeza na kutambua kwamba tangu lini mkaitwa kwa ajili ya kusikilizwa shida zenu na kiongozi wa Serikali arafu badala ya kuwepo na wasaidizi wake pale "High table" kutoka idara mbali mbali za serikali zinazohusiana na shida zenu kusudi msikilizwe badala yake wakawekwa akina Diamond,Lemutuz na Haji Manara? kwanza hawa wawili nilowataja mwishoni sijui ni waweke upande upi ama wawakilishi wa wizara ya Habari pengine au Wasanii nao?.

Pili kama mnavyofahamu matatizo yenu siku zoote hata kabla ya uchaguzi yamekuwa ni yale yale lakini mpaka leo hayatatuliwi......acheni kupelekwa pelekwa na washika tonge wachache hao mnao waita viongozi wenu..Hivi hamkujiongeza mlipoona Bashite anaongela "issue" ya Harmonize kuvuta bangi huku Diamond peke yake pale "high table" akipiga makofi kumuunga mkono Bashite kwa hilo? Hizo ndio kick za Bashite kusudi dogo siku akirudi basi itengenezwe filamu azidi kupata umaarufu

Acheni, huu ndio wakati wenu kwa umoja kuwanyoosha hao wanasiasa wanowatumia kama mpira kona..Kwa mfano mimi ningekuwa Nikki wa pili nigemwambia Bashite anifanyie mpango nikagombee ubunge kinondoni hayo ndio mawazo ya uhakika kusudi uwe muwakilishi wa wasanii bungeni
 
Write your reply...Naona makonda anawapigisha jaramba wasanii kwa ajili ya 2020 bila wao kujua
 
Ni ujinga kudhani huwa wanatumika as if huwa wanajitolea Tu ilhali watu wanapiga pesa kupitia vipaji vyao.
 
Nimeona juzi "Bashite" kawaita tena baada ya kuona uchaguzi unakaribia na kutengeneza "sinema" ambalo wengi wenu hamkulielewa maskini na mkaamua kujiingiza kichwa kichwa katika mtego ule...

Kwa ufupi ule ni mkakati mpya wa kuwaandaa ili muendelee kuwa vibaraka wao kwa ajili ya uchaguzi wa mwakani na kisha kuwa "dump" baadae tena kama ilivyofanyika wakati wa uchaguzi uliopita wa mwaka 2015.

Hivi nyie mlishindwa nini kujiongeza na kutambua kwamba tangu lini mkaitwa kwa ajili ya kusikilizwa shida zenu na kiongozi wa Serikali arafu badala ya kuwepo na wasaidizi wake pale "High table" kutoka idara mbali mbali za serikali zinazohusiana na shida zenu kusudi msikilizwe badala yake wakawekwa akina Diamond,Lemutuz na Haji Manara? kwanza hawa wawili nilowataja mwishoni sijui ni waweke upande upi ama wawakilishi wa wizara ya Habari pengine au Wasanii nao?.

Pili kama mnavyofahamu matatizo yenu siku zoote hata kabla ya uchaguzi yamekuwa ni yale yale lakini mpaka leo hayatatuliwi......acheni kupelekwa pelekwa na washika tonge wachache hao mnao waita viongozi wenu..Hivi hamkujiongeza mlipoona Bashite anaongela "issue" ya Harmonize kuvuta bangi huku Diamond peke yake pale "high table" akipiga makofi kumuunga mkono Bashite kwa hilo? Hizo ndio kick za Bashite kusudi dogo siku akirudi basi itengenezwe filamu azidi kupata umaarufu

Acheni, huu ndio wakati wenu kwa umoja kuwanyoosha hao wanasiasa wanowatumia kama mpira kona..Kwa mfano mimi ningekuwa Nikki wa pili nigemwambia Bashite anifanyie mpango nikagombee ubunge kinondoni hayo ndio mawazo ya uhakika kusudi uwe muwakilishi wa wasanii bungeni
ANkali si alisema kwamba kwasasa hawalipi wasanii tena watawatumia TOT kwenye kampeni,sasa BASHITE aliwaita kwa shughuli ipi?
 
Back
Top Bottom