Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Wadau mliokaribu na Alikiba tunasubiri tamko lake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndiyo wabongo wakiwa katika ubora wa uafrika wao. Wanakera sana ni full unafikiWabongo kwa unafiki tu tunaongoza,sasa ishu ya R Kelly na sisi wapi na wapi wakati hapa Bongo tunajazana kwenye show za Papii Kocha na Nguza Viking na tunamwaga miuno kila tukiusikia ule wimbo wa Seya wa mivalo kama kweli tuna huo utu tungeanza na hawa wa nyumbani kwanza sio kukimbilia yasiyotuhusu BTW ule wimbo sio wa Ali Kiba ivyo hawezi kuleta mbwembwe zozote zile.
Wadau mliokaribu na Alikiba tunasubiri tamko lake.
Write your reply...Aisee
Anataka comments na likes nyingi si unajua ukitaja controversy ya diamond na kiba jinsi inavyokuwa.Asa alikiba unamuhusishaje, kwanye issue kama hii mkuu
Si rafiki yake Rkelly walishirikiana kwenye 1-8 project[emoji16]Asa alikiba unamuhusishaje, kwanye issue kama hii mkuu
Anataka comments na likes nyingi si unajua ukitaja controversy ya diamond na kiba jinsi inavyokuwa.
Lazima uwe shogaKwahyo yey unamshilikishaje??
Kwahiyo kama una rafiki ako shoga na ww ni shoga?? hata kama sio shoga??
HahaaWatajijua wenyewe walibakwa miaka hiyo zaidi ya 30 kesi wanaileta leo aisee shauri yao kimpango wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo wanafki sanaWabongo kwa unafiki tu tunaongoza,sasa ishu ya R Kelly na sisi wapi na wapi wakati hapa Bongo tunajazana kwenye show za Papii Kocha na Nguza Viking na tunamwaga miuno kila tukiusikia ule wimbo wa Seya wa mivalo kama kweli tuna huo utu tungeanza na hawa wa nyumbani kwanza sio kukimbilia yasiyotuhusu BTW ule wimbo sio wa Ali Kiba ivyo hawezi kuleta mbwembwe zozote zile.