Wasanii wengi wanaziondoa Nyimbo za R. Kelly vipi kuhusu Alikiba?

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311

Wadau mliokaribu na Alikiba tunasubiri tamko lake.
 
Wabongo kwa unafiki tu tunaongoza,sasa ishu ya R Kelly na sisi wapi na wapi wakati hapa Bongo tunajazana kwenye show za Papii Kocha na Nguza Viking na tunamwaga miuno kila tukiusikia ule wimbo wa Seya wa mivalo kama kweli tuna huo utu tungeanza na hawa wa nyumbani kwanza sio kukimbilia yasiyotuhusu BTW ule wimbo sio wa Ali Kiba ivyo hawezi kuleta mbwembwe zozote zile.
 
Hao ndiyo wabongo wakiwa katika ubora wa uafrika wao. Wanakera sana ni full unafiki
 
Asa alikiba unamuhusishaje, kwanye issue kama hii mkuu
Anataka comments na likes nyingi si unajua ukitaja controversy ya diamond na kiba jinsi inavyokuwa.
 
Wabongo wanafki sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…