Wasanii wenye msaada kwa wasanii wengine

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakati naanza muziki kipindi sifahamiki, nilikutana na wasanii wanafiki wenye roho mbaya japo wana act marafiki.

Mungu ni mwema nilikuja kuonana na Mwana fa ambaye niliunganishwa na mmoja wa kaka angu wa mtaani aliyekuwa ananijua kuwa huwa naimba. Mwana fa alinisaidia sana kiukweli, japo nikichelewa kuja kufanya nae ngoma ila yeye ndio alinikutanisha na wadau wote wakubwa wa muziki. Mpaka nilipoonana na mzee kigogo "TID" ni Mwana Fa.

Mtu mwingine ambaye binafsi hakunisaidia lakini amesaidia wasanii wengi ni Dully Sykes pamoja na AY. Hao jamaa kama una uwezo hawatakuacha, watakupa hata connection.

Ila usijiroge uwatafute machalii wa R wakati hutokei ukanda huo, itakula kwako bro.

Ma underground msikate tamaa, ipo siku yako.
 
Watu wa kaskazin miyeyusho sana....wanajitambua wao tuu..na hata clouds pale watangazaji wanaotokea pande hzo mzinguo ming...kupendeleana kwingi..walitaka mpak kumdownload Mr Mondi
 
Huyu atakuwa Inspector Haroun ndiye ana kiherehere mseto cha aina hii.
 
Utaolewa kwa kuendekeza shobo kwa vidume
 
Billnas billnas

Amna noma mwanangu Mimi nitakuchek pm unajua nini Mwana mshukuru sana tid maana alikugongea Bonge la chorus afu Mwana fa alifanya sitak mazoea ichangamke
Amekupoteza huyu wala sio msanii ni msaka like na comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…