Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatembelea rolls royce yenye thamani ya billion 4. Hakuna kisichowezekana mkataba wake mmoja tu na Serengeti ananunua hiyo cyber truck
🤣🤣🤣
Yaani misifa tu,, anajenga nyumba mbezi beach, ujenzi umesimama ela imekata halafu eti fyoko fyoko
NdioHuyu ndo aliyeimba Binti kiziwi?
Ingawa sio mfatiliaji sana, ila jana niliona hiyo video ya Diamond na Baba Levo mahali,
Na hajasema ananunua cybatruck ya 2B, ila Ataileta hiyo gari yake kutoka Marekani ambayo ipo na imenunuliwa na ndugu yake wa huko kama sijakosea.
Nafikiri Media ndo zinashida kuliko wasanii wetu.
Wanawake ni rahisi sana kudanganywa.Anatembelea rolls royce yenye thamani ya billion 4. Hakuna kisichowezekana mkataba wake mmoja tu na Serengeti ananunua hiyo cyber truck