Wasanii wetu bwana: Kuongeza sifuri tu!

Ingawa sio mfatiliaji sana, ila jana niliona hiyo video ya Diamond na Baba Levo mahali,
Na hajasema ananunua cybatruck ya 2B, ila Ataileta hiyo gari yake kutoka Marekani ambayo ipo na imenunuliwa na ndugu yake wa huko kama sijakosea.

Nafikiri Media ndo zinashida kuliko wasanii wetu.
 

I thought so too. Nani kawahi kuisikia hiyo channel before?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…