Wasanii wetu kuweni na mameneja

Wasanii wetu kuweni na mameneja

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,136
Reaction score
32,268
Hello,

Mnajisahau sana, mkitumiwa ujumbe hamjibu.

Kama hamtaki kusumbuliwa si muweke contacts za meneja wenu, mtu akitaka kuwasiliana na nyie anapitia meneja wenu?
 
Mameneja, Walinzi, apartments, entorage zote tutawalipa nn na kampeni mpaka 2025?
 
Baada ya kushauri serekali na taasi ukaona ushari wako haufanyiwi kazi umehamia kwenye muziki.
 
Back
Top Bottom