mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kwenye matibabu Diamond, kwenye kuzika na kulia watakuwa woteEveryone alikua anamlalamikia Diamond kwamba hamjali Hawa eti kwasababu tu alishirikana nae nyimbo plus kusemekana walikua na uhusiano
Diamond akaamua isiwe shida akaamua kulipia matibabu then hawana wa kumlaumu tena na kuchanga hawachangi very selfish people.
Kwani Royalty, mapato, shows na haki zote za wimbo wa NITAREJEA Domo huwa anagawana na wasanii wenzakeHakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia msanii mwenzao.
Badala yake ni msanii mmoja tu bwana Diamond alitangaza hadharani kusema ametenga sh.mil.50 kwa ajili ya matibabu hayo nilitegemea baadhi ya wasanii wangejipigapiga ili kuongezea alipoishia Diamond hakika wasanii wetu hamna umoja bali mnasubiri msanii afe ndio mtafute kibali leaders za kuaga mwili wa marehemu kumbukeni leo hawa kesho wewe au mimi.
Wasanii uwa hawachangi mpaka wahamasishwe na clouds, au mhusika awe ana jina kubwa.Hakika wasanii wa Tanzania wanashangaza sana baada ya vyombo vya habari kutangaza kuwa msanii hawa anaumwa na anahitaji matibabu nje ya nchi niliamini wasanii wangejitokeza kwa wingi kumsaidia msanii mwenzao.
Badala yake ni msanii mmoja tu bwana Diamond alitangaza hadharani kusema ametenga sh.mil.50 kwa ajili ya matibabu hayo nilitegemea baadhi ya wasanii wangejipigapiga ili kuongezea alipoishia Diamond hakika wasanii wetu hamna umoja bali mnasubiri msanii afe ndio mtafute kibali leaders za kuaga mwili wa marehemu kumbukeni leo hawa kesho wewe au mimi.
Tanzania hakuna kitu kama hicho kwahiyo usitake kuyaangiza.. Tanzania mziki ulivyo kuanzia beat, mashahiri, na wimbo wenyewe mali ya Msanii mwenye wimbo. hayo mambo waachie wenzetu bado hatujafika huko.Kwani Royalty, mapato, shows na haki zote za wimbo wa NITAREJEA Domo huwa anagawana na wasanii wenzake
Haya anza kuuza na kupiga show kwa wimbo wa NITAREJEA maana kwa maelezo yako hauna mwenyeweTanzania hakuna kitu kama hicho kwahiyo usitake kuyaangiza.. Tanzania mziki ulivyo kuanzia beat, mashahiri, na wimbo wenyewe mali ya Msanii mwenye wimbo. hayo mambo waachie wenzetu bado hatujafika huko.
Nimesema kila kitu ni mali ya msanii mwenye wimbo au umequote bila kumaliza nilichoandika tazama ulicho quote nimesema kuanzia beat, mashahiri na kila kitu ni mali ya msanii mwenye wimbo kibongobongoHaya anza kuuza na kupiga show kwa wimbo wa NITAREJEA maana kwa maelezo yako hauna mwenyewe
Cc:Steve NyerereKwenye matibabu Diamond, kwenye kuzika na kulia watakuwa wote
AiseeeKwani Royalty, mapato, shows na haki zote za wimbo wa NITAREJEA Domo huwa anagawana na wasanii wenzake