Wasanii wetu vipi?

Wasanii wetu vipi?

luckyperc

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
495
Reaction score
46
Ikiwa wanalalamika hawapati kipato cha kutosha mbona wanawaendekeza makampuni?
hivi msanii katika nyimbo yako unataja jina la company kwa kushukuru?
hivi amejiuliza hiyo nyimbo inapigwa na media ngapi na itasikika kwa watu wa ngapi?
Kipato company itakacho kipata kwa kutajwa je return yake kwa msanii inakuwaje!
Wasanii hawana elimu ya marketing au ndo wanaona sifa 2.
Mfano Dullysykes katika wimbo wa "Bongo fleva" anataja Home shopping centre huku akuna malipo anayopata zaidi kupewa pazia na makapeti.
waende darasani wapate elimu ya biashara.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom