Wasanii wetu wa kibongo mnapoanzisha kitu muwe mnakipa hatimiliki ili msiibiwe

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Habari zenu wakuu kwema??..Ni hivi kume kuwa kuna huu msemo ni wa mda kidogo unaitwa Konk huu msemo ni msemo wa miaka kama 3 au mi 4 ivi imepita na huu msemo muanzilishi wa huu msemo ni Huyu dogo anaitwa Baga mtemo ni muigizaji wa bongo movie.

Miaka ya nyuma alijizolea umaharufu katika tamthilia ya Uwa jekundu alijizolea umaharufu sana aligiza kama mtu frani hivi mwenye kigugumizi..sasa miaka ya 2014 kama sikosei alitoaga movie yake jina nimesahau alitumia sana huu msemo wa konki..

Huu msemo ukaja ukachukuliwa na Chege chigunda na yeye akawa anautumia huu msemo sana mpaka wakagombana na Dogo baga sasa cha kushangaza Dudu baya na yeye kaja katumia huu msemo wa konk kujipatia kipata mana wasafi wamemchukua na kumsainisha na kumfanya kana kwamba yeye ndo muanzirishi wa huu msemo wakati si ukweli.

Muanzilishi wa huu msemo ni uyu janja anaitwa Baga ndo muanzilishi lkn kwakuwa dogo hana power kazurumiwa haki yake hivi hivi..

Wito wangu:kwa wasanii wetu wa kibongo mnapo anzisha kitu muwe mna kipa hati miliki ili msiibiwe kama alivyoibiwa Dogo Baga.#Dudu baya ona aibu acha wizi wa slogani za watu#Wewe si muanzilishi wa konki#.
 
Konki konki konki master ndo dudu baya mkuu hao wengine hatuwajui
Ova
 
Kwel bwana hata mm wamenidhulumu msemo wangu wa KIBAMIA. Inauma sana yani nitukanwe mm alafu wafaidike wengine? I think am ze fest 2 komment.
 
Konki konki konki master oil chafu mamba hao wengine wakafie mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…