Wasanii wote wa Wasafi Festival wapigwa ban Clouds

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.

Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
 
SAWA WAMEZIPATA
 
Teh teh teh teh!!!!!!

Halafu BASATA wanamfungia msanii anayewapa wasanii wenzake platform ya kuendeleza vipaji vyao na kuinua hali zao za kiuchumi pia

Pathetic!!!!

Haya kama ni kweli tunaomba BASATA muingilie kati upuuzi huo na ikibidi fanyeni uchunguzi wenu,ifuatilieni habari hii,ikitokea kama alivyosema mleta ujumbe,Ifungie hiyo redio MILELEE kwa kuwa kazi yao itakuwa ni kuwaharibia future wasanii
 
Kwani ni lazima zipigwe clouds media? Kuna media ngapi Tanzania?

Hakuna aliyesema ni lazima, lakini ni muhim mashabiki pia mkijua what is going on kwenye tasnia ya muziki. Usipanic mkuu.
 
snitch sana hao mawingu
hapo ni wivu tu ndio umewajaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…