sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #61
JF ya siku hizi bana,
Sasa ukisutwa utaathirika vipi? Na msutaji atafaidika vipi? By the way neno kusutana limekaa ki dada dada hivi. We sema labda tumuweke Mod mmoja shahidi ikitokea nyimbo zimepigwa ulambwe Ban
Mbona Juma Nature yupo kwenye list ya wasanii watakao imba kwenye Fiesta na alikua kwenye wasafi festival
Bila kujitambulisha hoja yako ni kama kupaka nguruwe lipstick.Mbona mimi masongi yangu yanapigwa kama kawaida clouds, na nilishiriki wasafi festival.
[emoji2] hii mada ya kupaka nguruwe lips nimeiona pahala humu, nikijitambulisha nitapata usumbufu sana mzee, mimi ni msanii mkubwa wa bongofleva na mwenye jina kubwa tu. Nilivuma sana miaka ya 2004 mpk sasa bado nakimbiza.Bila kujitambulisha hoja yako ni kama kupaka nguruwe lipstick.
Utakuwa bysa basi[emoji2] hii mada ya kupaka nguruwe lips nimeiona pahala humu, nikijitambulisha nitapata usumbufu sana mzee, mimi ni msanii mkubwa wa bongofleva na mwenye jina kubwa tu. Nilivuma sana miaka ya 2004 mpk sasa bado nakimbiza.
Hivi Clouds ni nchi gani hiyo. Hakuna lofa wa kuomba visa ya clouds.Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni.
Adhabu hiyo ina lengo la kuwa-discipline wasanii kutoshiriki matamasha tofauti na yanayoendeshwa na clouds.
Unakuja kuja bt bado, ngoja nitaweka picha humu nikiwa na kundi letu lililotamba sana miaka hyo alafu utajiongeza mzee baba.Utakuwa bysa basi