Wasanii

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,214
Kuna baadhi ya wasanii Kule INSTA wamepunguza kupost habari zao sijui wana mawazo gani.
Tulishazoea kila muda kuona matangazo yao Mara napiga shoo CANADA Mara tarehe flani nitakuwa GERMANY Mara kapost kalala juu ya dollars!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona ghafla wamekua kimyaaaaaa!!! Kwa siku ana POST Mara moja eti anakunywa CHAI YA RANGI na ANDAZI moja! Kisha anaandika "na maintain mie" [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…