Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Linah na Amini wameachana muda sasa baada ya Amini kumdunda Linah kila kukicha baada ya Linah kuwa maarufu zaidi yake.Linah alivumilia sana lakini ilifika mahala akaona kwenda kwenye shows na manundu sio issue.Ni kitu gani kinasababisha mahusiano mengi ya wasanii maarufu kutofikia malengo makubwa mfano kuoana?
Mfano mzuri ni taarifa za leo kwamba wapenzi wa siku nyingi kutoka kundi la THT Linah na Amani wameachana, hapa kuna nini?
Linah na Amini wameachana muda sasa baada ya Amini kumdunda Linah kila kukicha baada ya Linah kuwa maarufu zaidi yake.Linah alivumilia sana lakini ilifika mahala akaona kwenda kwenye shows na manundu sio issue.
Unaposema wengi una maana gani,unless una statistics ya kuonyesha hao wengi unaozungumzia, lkn ukija swala la watu maarufu kuto kudumu kwenye relation zao / kutokufikia malengo nafikiri ni sababu kila mmoja anajiona labda ame achieve kitu na anafikiri hata akimkosa mwenzake maisha bado yanakwenda