Wasaniii wa tanzania hasa bongo fleva wamepokeaje maafa ya kagera.

hafidh ayoub

Member
Joined
Sep 15, 2016
Posts
20
Reaction score
4
Habari ndugu zangu.

Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba.

Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la msimu wa fiesta lilipita mkoani humo,wasanii weng waliona jinsi gani wanapendwa na mashabiki zao baada ya kupata support kubwa wakiwa jukwaani..

Cha kunishangaza ni baada ya tetemeko kutoke mchango na mapokeo ya tukio hilo kwa wasanii halijakidhi kabisa kulipa fadhila walizotendewa wakiwa mkoani humo na hawana muonekano wa kuumizwa na kupoteza baadhi ya mashabiki zao waliopoteza maisha. Wasanii amkeni sisi ndiyo maboss wenu.
 
Wewe umetoa mchango gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…