Waschana wasomi je?

Waschana wasomi je?

Wapekee

Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
26
Reaction score
0
Jamani, nimepitia threads humu, sioni wa kaka wanaotaka gf au mke mwenye masters?kwani hao hawafai kuolewa?utakuta mschana anavigezo vyote ila anakuwa limiyed na elimu yani akiwa na masters bas wakaka kawamtaki, kwann?
 
Usinchekeshe wapekee! Hivi bado haujui kuwa kila mwanamke ana style yake ya kutokewa? Usitegemee dame wa kiwango hicho cha elimu akapatikana kwa style ya kiprimary au sekondary. Teteteteeeeeeeeeeeeeeee!

Nimetamani kujua jinsia yako, kama vipi nipm tuongee vizuri privately, nikwambie maujanja, hahahahahaaaaaa!
 
Awe std seven,form 4 au 6,first degree,masters,phd hata prof bado ndo walewale pasua kichwa.. Mbona sie tunawamega level zote,me binafsi nimegonga sana phd holder ambae ni mamaake na gf wa jamaa yangu anayepiga kazi nje ya nchi(siitaji)... Siwaelewi hawa viumbe akili zao!
 
Vigezo ni vipi ,ulimwengu huu wa mawsiliano .tft kwenye facebook utaoona mabo yalivyo, lakini JF iko juuu
 
Kila mtu ana equal chance, bila kuangalia Elimu.
 
Jamani, nimepitia threads humu, sioni wa kaka wanaotaka gf au mke mwenye masters?kwani hao hawafai kuolewa?utakuta mschana anavigezo vyote ila anakuwa limiyed na elimu yani akiwa na masters bas wakaka kawamtaki, kwann?

we ni she au he? Kama ni she na una masters niPM haraka
 
Back
Top Bottom