Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Kufungwa kunauma sana.
Ila hawa wasemaji wakamatwe na wafungiwe kwa muda kuzungumzia mpira. Hawa wanamchango mkubwa sana kuharibu national team hasa kwa kupata matokeo mabovu leo.
Mfano katika press yao ya kuhamasisha walianza kuleta taharuki kwa kuhusiha mechi ya trh 19. Hii tayari ilipeleka preaha kwa mashabiki na wachezaji. Mashabiki kutunza noti zao za viingilio ili wasubirie trh 19.
Wachezaji kuwa na preaha na kuhofia kuumia wakiiwaza mechi ya tarehe 19.
Kimsingi hawa waseemaji hakuwa chachu bali ukakasi tu kwenye timu ya taifa.
Soma Pia: Full Time: Tanzania 0- 2 DR Congo | Qualification AFCON 2025 | Benjamin Mkapa Stadium | 15 Oktoba, 2024