Wasemaji Simba, Yanga na Azam punguzeni comed, mnaboa watu wazima

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Uzi unajieleza wenyewe

Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!

Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.

Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
 
Uzi unajieleza wenyewe

Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!

Katika vitu vinakera ni kujichetua kwa hao jamaa mimi hata siwaoni kama ni wasemaje hapa nchini msemaji ni mmoja tu thobiasi kifaru wa mtibwa hatoki nje ya mstari!
 
Tarehe nane inakuja, shauri yako. Kilichotokea tarehe tano unakijua..!! We jiroposhe hapa uje urukiwe kama mwewe hiyo tarehe nane baada ya mechi..!!
Umepanik sana andika taratibu upate muda wa kuvuta pumzi
 
Uzi unajieleza wenyewe

Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!

Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.

Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Naunga mkono hoja
 
Sasa timu kama yanga kile si ni kikundi cha wachekeshaji we unaweza kumpa kazi manara kwenye timu yako na alishasema wote hamna akili?
Alisema wenye akili ni wawili tu.
 
Uzi unajieleza wenyewe

Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!

Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.

Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Aaaah Mwasibu feki CPA UCHWARA SUNZU BOBAN umeibuka jombi.
 
Uzi unajieleza wenyewe

Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!

Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.

Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Binafsi sifurahishwi na iyo haina ya ufanyaji kazi lakini ndio mambo ambayo wabongo wanayapenda hayo. Wabongo na profesionalism ni unyayo na utosi
 
Back
Top Bottom