OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kumbuka nyie ( mtoa mada na wewe wote ni makolo)[emoji23][emoji23]Ikikuuma chomoa
Katika vitu vinakera ni kujichetua kwa hao jamaa mimi hata siwaoni kama ni wasemaje hapa nchini msemaji ni mmoja tu thobiasi kifaru wa mtibwa hatoki nje ya mstari!Uzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!
Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.
Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Sio lazima awaskize
Tarehe nane inakuja, shauri yako. Kilichotokea tarehe tano unakijua..!! We jiroposhe hapa uje urukiwe kama mwewe hiyo tarehe nane baada ya mechi..!!Sasa timu kama yanga kile si ni kikundi cha wachekeshaji we unaweza kumpa kazi manara kwenye timu yako na alishasema wote hamna akili?
Uzuri ni wewe tu mmoja na mwenzio mtoa mada. Sisi wazee wa kuweka mabango tunafurahia..!!Katika vitu vinakera ni kujichetua kwa hao jamaa mimi hata siwaoni kama ni wasemaje hapa nchini msemaji ni mmoja tu thobiasi kifaru wa mtibwa hatoki nje ya mstari!
Umepanik sana andika taratibu upate muda wa kuvuta pumziTarehe nane inakuja, shauri yako. Kilichotokea tarehe tano unakijua..!! We jiroposhe hapa uje urukiwe kama mwewe hiyo tarehe nane baada ya mechi..!!
Sema uongezwe kinywaji!Uzuri ni wewe tu mmoja na mwenzio mtoa mada. Sisi wazee wa kuweka mabango tunafurahia..!!
Hakuna cha kunipanikisha..!!Umepanik sana andika taratibu upate muda wa kuvuta pumzi
Naunga mkono hojaUzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!
Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.
Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Nimeipenda hiiSasa timu kama yanga kile si ni kikundi cha wachekeshaji we unaweza kumpa kazi manara kwenye timu yako na alishasema wote hamna akili?
Alisema wenye akili ni wawili tu.Sasa timu kama yanga kile si ni kikundi cha wachekeshaji we unaweza kumpa kazi manara kwenye timu yako na alishasema wote hamna akili?
Aaaah Mwasibu feki CPA UCHWARA SUNZU BOBAN umeibuka jombi.Uzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatilia na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!
Hakuna tofauti ya kumsikiliza comedian Tx Dula au Leonardo na Ahmed Ally na Ally Kamwe. Unajiuliza hawa ni wasemaji wa timu au comedians wa timu Unamkuta Ally Kamwe anafanyia jokes wachezaji wa Simba, huu ni upuuzi wa kutia kinyaa.
Hichilema tufikishie hizi taarifa kwa wahusika wote.
Binafsi sifurahishwi na iyo haina ya ufanyaji kazi lakini ndio mambo ambayo wabongo wanayapenda hayo. Wabongo na profesionalism ni unyayo na utosiUzi unajieleza wenyewe
Comed zimekuwa too much kiasi cha kukinaisha. Hatukatai hili soka ni mchezo wa furaha na hamasa, hatukatai moja kati ya jukumu lenu ni kutia hamasa. Lakini kinachoendelea sasa kwa wasemaji hawa ni utoto. Hizo club zinafuatiliwa na watu wengi duniani kote, sasa kuleta masihara hata mnapokuwa kwenye media kuzisemea clubs, sio sawa!