Wasemaji wa CHADEMA wamepoa sana, kuna nini?

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Wakuu,
Ni muda umepita bila ya kuwasikia wasemaji wa CHADEMA kupitia mitandao haswa Lema na Mdude. Ni ukweli kuwa usemaji wao ni wa kufizia matukio na si usemaji wa kuuza sera za chama chao.

Nikiwa kama mdau mkubwa wa hawa watu naombeni kujua ni nini kimewapata hadi kutoweka kwenye mitandao zaidi ya wiki sasa.
 
Njia ya mwongo ni fupi, tayari wamefika mwisho.
 
Kunawatu wengi nchini wanaroho mbaya wanafurahi ukipitia matatizo... Wapinzani wanaumizwa,wanakimbizwa nchini,wanaharibiwa biashara nk. mnakaa kimya hata kukemea hamkemei ajabu wakitulia ndipo mnaibuka kuhoji ujinga!!!
Kama mnaona kunashida simseme ninyi kwanini mngoje wao??
 
Hivi kweli kama kuna shida nchini kwa nini Lema kakimbia majuu na kuja kuhangaika na maandamano uchwara?
 
Yumo humu Kamanda Erythrocyte anakiwasha akipambana na Komredi Lucas Mwashambwa wa CCM!
 
chadema imeshajifia toka 2015
Walipoingia mtengo wa kumkubali mwanaccm awe mgombea wao aiseeπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Wewe unataka waseme nini? Hebu tuambie ni kitu gani walitakiwa kusema lakini hadi sasa hawajasema
 
Msemaji wa chadema atasema nn kwa sasa?
...maridhiano wamechezewa kekundu na mama.
...katiba mpya wamechezewa kekundu na mama.

Hapa kosa kubwa ni pale chadema ilipoamini kuwa shetani (ccm) atatenda kama malaika.

But kimya kingi kina mshindo mkuu, pengine wanakuja na jambo jipya. Tuwape muda
 
Wewe unataka waseme nini? Hebu tuambie ni kitu gani walitakiwa kusema lakini hadi sasa hawajasema
Embu rushia post zao tano za mwisho ndio utaona huwa wanamawazo gani mkuu.Wengine tunafarahia kushangaa mapovu wanayotoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…