Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Jana pale uwanja wa Mkapa mmefanya Mambo ambayo ni dhahiri hata nafsi zenu zinawasuta. Nyie ni Watanzania na mna Uhuru wa kuamini au kuabudu chochote.
Mna dini zenu lakini pia mna itikadi zenu. Lakini kitendo cha kufuata itikadi mnayohusudu huku mkihusisha taasisi za soka ambazo nyie ni Wasemaji mnatafuta sifa upande mmoja huku mkibomoa upande wa pili.
Hakuna anayewazuia kupenda siasa na kushabikia siasa, lakini kuzinasibisha Simba na Yanga direct kwa maneno yanayotoka vinywani mwenu mmetengeneza Bomu litakalowala nyie wenyewe, tuko hapa tusubiri muda.